Mmhh
Oooh
Hallelujah
Kaa nami Yesu
Bila wewe sita shinda dunia hii
Maadui zangu ni wengi
Wanatamani kunimaliza
Kaa nami bwana
Oooh hallelujah
Yahweh

Kaa nami
Ni usiku sana
Usiniache gizani bwana
Msaaada wako haukomi
Gili pekee yangu kaa nami
Oooooo ooooh

Siku zetu
Hazikawii kwisha
Sioni laku nifurahisha
Hakuna ambacho hakikomi
Usiye na mwisho kaa nami
Ooooo ooh
Hallelujah
Kaa nami Yesu
Nakuhitaji usiku na mchana
Aja ya moyo wangu ni kwamba
Nikae na wewe milele
Nitembee na wewe
Nikule na wewe kila wakati bwana
Takasa maisha yangu
Ooh hallelujah
Asante bwana
Oooh


Mi nahaja na wewe Yesu
Hallelujah oooh Jesus
Hallelujah
Mi nahaja na wewe kila saa
Sina mwingine wa kunifaa
Mimi nitaongozwa na nani
Ila wewe bwana
Kaa nami
Ooh hallelujah
Nakuhitaji bwana
Sichi neno
Uwapo karibu
Nipatalolote sitahabu
Kifo na kaburi haviumi
Nitashinda kwako
Kaa nami
Eeeh hallelujah
I need you Jesus
Nakuhitaji bwana Yesu
Yesu anahudumia maisha yako
Bwana anagusa nyumba yako
Anagusa familia yako
Fungua tu moyo wako
Pokea baraka za bwana maishani mwako
Yuko tayari kukaa na wewe
Ikawa utafungua moyo wako aingie na aishi pamoja na wewe hallelujah

Ahsante Bwana Yesu
Ahsante hallelujah
Nilalapo nikuone wewe
Gizani mwote nimulikie
Nuru za mbinguni hazikomi
Siku zangu zote kaa nami
Oooh “rabasharta rababosaya”
Yes Lord
Nakuhitaji hallelujah
Kaa pamoja nami mfalme
Haja wa moyo wangu
Ni wewe ukae na mimi
Kaa na taifa la Kenya
Kaa na wakristo
Kaa na watumishi wako bwana
Fungua waliofungwa
Okoa
Inua mioyo iliyoshushwa bwana
Kila mahali ulipo
Hallelujah

Kaa Nami ni Usiku Tena Lyrics

Kaa Nami ni Usiku Tena by Angela Chibalonza is a Swahili hymn that speaks of the need for God’s presence and guidance through life’s challenges. The song’s title translates to “Stay with Me, for It is Night Again,” and it is a heartfelt plea to God to remain close, especially during times of darkness and uncertainty.

Related: Amazing Grace Lyrics

Kaa Nami ni Usiku Tena Lyrics VIDEO