Lyrics

Yaya ft. Diamond Platnumz & Jux – Rayvanny

YAYA

Rayvanny ft Jux,Diamondplatnumz

pro:S2kiz

……Rayvanny

wo loloo aya yaya chuii wee zombie haujui Bad man namasimba dangote najua nina madeni na matatizo ya kodi ila pesa ya pombe na shisha sikosi najua ninavipengele watu wanapiga hodi ila kuhonga madem wazuri sichoki eeeh kama umemchoka tuachie sisi (Nasemaje) tumle mbaka mifupa sisi ndio mafisiwewee kama umemchoka tuachie sisi(Athuman)tumle mbaka mifupa sisi ndio mafisi sawa nimeachika ila naburudika sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika nimeachika naburudika sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika haya madisco na sup

…..Aya yaya aya yaya

…..Diamondplatnumz

wee zombie jaza tena zkisha mwaga tank tano zkisha babe ikijipitisha (pitisha) usiku mboga namchumisha(chumisha)

eeeh wanajita wandim wakati babe zao tunazsila chini chini eeeh mabisho brim brim kaz kulamba lips kitandani

nawaging ladies simba…………….

wambie sie mbwa kala paka ungezungumza kwa mipaka

YAYA AUDIO HERE.>> Rayvanny – Yaya Ft Diamond Platnumz & Jux

Yaya Lyrics Rayvanny

Related: Kizz Daniel Cough Lyrics