Sina Mungu Mwingine Lyrics

Oh baba mimi sina Mungu mwengine ni mfahamu
Ni wewe pekee udhzaee royo wangu Alléluia
Tu imbe pamoja

Sina Mungu mwingine
Wakutegemea
Binguni na duniani
Apana mwingine
Sina chakupendeza
Wala cha fahida
Ila wewe Bwana wangu
Mungu wa milele
Mwili na moyo wangu
Via weza zimiya
Pali Mungu ndiye nguvu
Za huhayi wangu

Yeye sehemu yangu
Milele daima
Nitaingiya ema yake
Na sifa zake kuu

Ni nani mwingine
Ajazaye roho yangu
Na kunipa raha kamili
Ni nani semeni
Akombowaye mwanadamu
Na kumushindiya shetani

Usifiwe Bwana ni wewe pekee tuu Bwana
Sina Mungu mwingine
Wakutegemea
Binguni na duniani
Apana mwingine
Sina chakupendeza
Wala cha fahida
Ila wewe Bwana wangu
Mungu wa milele (kuna swali tuna wa uliza sasa)

Ni nani mwingine?
Ajaza ye roho yangu
Na kunipa raha kamili
Ni nani semeni?
Akombowa ye mwanadamu
Na kumushindiya shetani

Alléluia
Bwana niki tazama dunia nzima
Ni ende wapi?
Si one mutu mwingine, si one binadamu, si one tchotchote
Ambatcho kina nifaa, ambatcho kina nidhaza uni dhazavio baba

Ni nani mwingine?
Ajaza ye roho yangu
Na kunipa raha kamili
Ni nani semeni?
Akombowa ye mwanadamu
Na kumushindiya shetani

Sina Mungu Mwingine Lyrics

“Sina Mungu Mwingine” is a Swahili worship song that speaks of the beauty and supremacy of God. The song was written and composed by Reuben Kigame, a renowned gospel artist, songwriter, and worship leader from Kenya. The song has become a popular worship anthem in East Africa, and it is often sung in churches, Christian gatherings, and events.

Related; Amazing Grace Lyrics

Sina Mungu Mwingine Lyrics Video